Ta Ha 20:105 ويسالونك عن الجبال فقل ينسفها ربي نسفا ١٠٥
وَيَسۡـَٔلُونَكَ
عَنِ
ٱلۡجِبَالِ
فَقُلۡ
يَنسِفُهَا
رَبِّي
نَسۡفٗا
١٠٥
Na wanakuuliza khabari za milima. Waambie: Mola wangu Mlezi ataivuruga vuruga.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wanakuuliza watu wako, ewe Mtume, kuhusu hatima ya majabali Siku ya Kiyama. Basi waambie, «Mola wangu Atayaondoa mahali pake na atyafanya ni vumbi lililopeperushwa.
Na wanakuuliza watu wako, ewe Mtume, kuhusu hatima ya majabali Siku ya Kiyama. Basi waambie, «Mola wangu Atayaondoa mahali pake na atyafanya ni vumbi …